Jiwe hakuimarisha mifumo ya uongozi, alikuwa ni one man show! Alijijenga yeye tu! Hivyo hali imerudi vile kwa kuwa na hili mkalitazame pia!Kwanini haya masuala yamerudi kwa kasi kwa hawa watoa huduma...?
Mbona mengine hata hayaitaji fedha kutasimamia lakini wananchi wanakumbana na hii janga la kudharauriwa,kunyanyapaliwa,kukejeli,kutojaliwa na wala kutoheshimiwa... na ukitaka ukwepe hayo yote basi TOA RUSHWA..
Tunaenda wapi sasa km nchi,mbona watumishi ni wale wale ambao kuna kipindi walionekana wameanza kustaarabika..?
Je utoaji wa huduma bora unaweza fanyika kwa kificho?Kuna mambo huwa yanafurahisha sana.Kwa hiyo mleta uzi;-
-huwa unaenda maofisini kupata huduma zako unazozihitaji au huwa unakuwa mpelekezi kwa muda juu ya mienendo ya watumishi?
-unapendelea waweje kinuonekano?Wachekecheke muda wote au upate huduma na kushika kiguu na njia?
-unapotoa takwimu kwa kujumlisha ofisi zote,ina maana umeingia ofisi zoooteee Tanzania bara na visiwani Zanzibar na Pemba?
-huwa unaacha kudai huduma na kubaki kuwakazia sura watumishi uone miitikio yao kwa kadiri ya heshima,upole,uharaka,ubora na ufanisi utolewao?vvv
Unajibu maswali kihuni na kujifichaficha sana.Punguza au ikibidi uache chuki zako kwa watumishi.Hamkosi kuzua mambo ninyi!Waacheni wafanye kazi kwa kujiamini.Mkifika maofisini mnatafuta la kutoka nalo kwa u-hasihasi tu.Zama za watumishi kufanya kazi kama wapo medieval ages zimepita.Je utoaji wa huduma bora unaweza fanyika kwa kificho?
Utoaji wa huduma bora ni lazima mfanyakazi acheke cheke?
Usichojua ni kwamba UKARIMU katika huduma ni moja ya vigezo vya KANUNI NA TARATIBU ZA KAZI..
Kingine usichokijua urasimu huchangiwa kwa kiasi kikubwa uwepo wa huduma mbovu katika taasisi husika..wananchi huona kwamba ili mambo yaende basi lazma atoe kitu(rushwa)
Suala la unajuaje au sijui umetembelea ofisi zote nchini( hapo upeo wa akili unaonesha we ni nani hivyo siwezi kubishana na wewe,sababu kila mtu anakazi yake)
Nilishasema na ninasema tena mbona hamuwi specific kuwa ni ofisi gani na ikibidi jina la mtumishi mwenye mwenye mwenendo usiofaa au uliokukera.? Msiseme kijumla jumla hivi kwani inaonekana kama ni umbea tu na uzushi.Wapo watumishi wa umma wenye uadilifu na wanaotoa huduma kwa viwango vya juu pasipo kudai rushwa wala kutengeneza mazingira ya rushwa.Nasema wapo tena sio kidogo, wapo.Fake ID ikufanye basi kuongea kwa uwazi, kwani gharama anayoilipa Maxcence Mello ni kubwa sana kwa kutofichua real ID za members huku halafu mtu unakuja na umbea badala ya ushahidi.Kwanini haya masuala yamerudi kwa kasi kwa hawa watoa huduma?
Mbona mengine hata hayaitaji fedha kutasimamia lakini wananchi wanakumbana na hii janga la kudharauriwa, kunyanyapaliwa, kukejeli, kutojaliwa na wala kutoheshimiwa... na ukitaka ukwepe hayo yote basi TOA RUSHWA..
Tunaenda wapi sasa kama nchi, mbona watumishi ni wale wale ambao kuna kipindi walionekana wameanza kustaarabika?
Wewe ndo mjinga, kwani huwezi kutekeleza wajibu wako hadi jiwe awepo? Kuna watu wa hovyo sana wanafanya upumbavu wanasingizia eti jiwe alikuwa one man show.Jiwe hakuimarisha mifumo ya uongozi, alikuwa ni one man show! Alijijenga yeye tu! Hivyo hali imerudi vile kwa kuwa na hili mkalitazame pia!