D DR ROBBY New Member Joined Sep 7, 2024 Posts 1 Reaction score 3 Sep 8, 2024 #1 Jaman Wana jamii forums Nina swali. Je, ni lugha gan ambayo hutumika wakati wa interview yako pale ubalozi wa marekani ni Kiswahili au ni English? Na pia, je interview unafanyia ndani kwenye chumba au ni dirishan jaman? Msaada wenu
Jaman Wana jamii forums Nina swali. Je, ni lugha gan ambayo hutumika wakati wa interview yako pale ubalozi wa marekani ni Kiswahili au ni English? Na pia, je interview unafanyia ndani kwenye chumba au ni dirishan jaman? Msaada wenu
officialbryteskylinks Senior Member Joined Jan 26, 2022 Posts 183 Reaction score 221 Sep 24, 2024 #2 Kiswahili
Nibiru JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 596 Reaction score 828 Sep 24, 2024 #3 Unachagua mwenyewe