Lugha gani ni ngumu kuliko zote?

Lugha gani ni ngumu kuliko zote?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Duniani kuna lugha mbalimbali zinzotumika kama mawasikiano,swali langu je ni lugha ipi ni ngumu kujifunza, kuielewa au hata kutamka tuanzie hapa east africa....lakini kama una ufaham zaidi tujuzane hata za nje ya EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadharia ya lugha inasemaje kwan wataalam tujulishen...nakumbuka wanasema hakuna lugha ngum wa lugha nyepesi kujifunza.
 
hivi KIMASAI kinaandikika kwa alphabet hizi za kizungu au kama za kichina na kiarabu...???
 
duniani kuna lugha mbalimbali zinzotumika kama mawasikiano,swali langu je ni lugha ipi ni ngumu kujifunza,kuielewa au hata kutamka .tuanzie hapa east africa....lakini kama una ufaham zaidi tujuzane hata za nje ya EA

Sent using Jamii Forums mobile app
You can not decide unless you have come across all, which is impossible!
 
Back
Top Bottom