Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
AsanteUsiyoifahamu Mkuu
namaanisha ngumu kwa kujifunzaHakuna lugha ngumu duniani.Kigezo ni kwamba lugha zote zina wazungumzaji wake na wazimudu lugha hizo
duhKikorea kaskazini. Mpaka Trump hakielewi kabisa
You can not decide unless you have come across all, which is impossible!duniani kuna lugha mbalimbali zinzotumika kama mawasikiano,swali langu je ni lugha ipi ni ngumu kujifunza,kuielewa au hata kutamka .tuanzie hapa east africa....lakini kama una ufaham zaidi tujuzane hata za nje ya EA
Sent using Jamii Forums mobile app