Lugha gani ni ngumu kuliko zote?

Daaahhh Kirussia aiseee ,, hawa jamaa ilibidi nitemane na darasa lao.

Nakupenda kishwali.
 
Kikwetu ndio kigumu, hata mimi mwenyewe ckijui
 
Kwa afrika lugha za kinailotiki ndiyo huleta shida kwa mtu kujifunza kwa sababu ya mfumo wake. MF, lg ya wamasai.
 
Hakuna lugha ngumu wala rahisi.zote ni sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…