Lugha gani ni ngumu kuliko zote?

Lugha ngumu zaidi ni lugha usiyoielewa kama kimasai utachojua ni matusi
 
Kichina, ukiacha matamshi tuu tone pia inamatter sana. Mfano neno Dàxùe ukilitamka kama hapo lilivyo ni tofauti kabisa na maana yake but linatamkwa 'dashueeee* na sio *dashue*
 
Nadharia ya lugha inasemaje kwan wataalam tujulishen...nakumbuka wanasema hakuna lugha ngum wa lugha nyepesi kujifunza.
Nadharia ya lugha inasema lugha zote ni sawa hakuna lugha ngumu inategemeana na wazungumzaji vile vile pie lugha zote ni bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…