Sijaelewa kigezo ulichotumia mkuuHaha nchi za NJE aka mbele ni nchi za NORTH AMERICA, ULAYA MAGHARIBI, JAPAN , NEW ZEALAND au AUSTRALIA basi...
Nchi jirani ni kama Kenya na Uganda.
Ughaibuni ni nchi ambazo sio za Nje! Mfano Russia au China au Arabuni.
Mamtoni ni Mbele aka Nchi za Nje....China sio mamtoni ila America ni mamtoni!
5. Jamaa kua nje siku kwakua waluga luga wengi sana wanasafiri basi hata ukienda China au India wanasema uko nje ila ukweli ni kwamba China sio nje ila China ni Ng'ambo!
Ughaibuni ni general term sema mostly inatumika iwapo unaishi kabisa huko...mfano unaishi Sweden....tunasema uko ughaibuni...
Aina ya NCHI uliyomo na JIOGRAFIA ndio vigezo muhimu kujua uko nchi jirani au nchi za nje!Sijaelewa kigezo ulichotumia mkuu
Enhee.sawa.hebu twende sasa kujua ng'ambo,ugaibuni na nje kwa kigezo hicho cha kijiografia na sababu zake za kua ng'ambo,ugaibuni na nje mkuuAina ya NCHI uliyomo na JIOGRAFIA ndio vigezo muhimu kujua uko nchi jirani au nchi za nje!
Ngoja narudi wifi yako kaniita....Enhee.sawa.hebu twende sasa kujua ng'ambo,ugaibuni na nje kwa kigezo hicho cha kijiografia na sababu zake za kua ng'ambo,ugaibuni na nje mkuu
Eee.mkuu ndio wifi ndio nini tenaNgoja narudi wifi yako kaniita....
Wifi yako we si wa kike ndo mwandani wangu mimi si wifi yako? Ungekua wa kiume ningesema shemeji yako...anyway tuendeleeEee.mkuu ndio wifi ndio nini tena
Gegraphically...nchi Tanzania inazopakana nazo ndo nchi jirani..kama kenya na ugandaEnhee.sawa.hebu twende sasa kujua ng'ambo,ugaibuni na nje kwa kigezo hicho cha kijiografia na sababu zake za kua ng'ambo,ugaibuni na nje mkuu
Sawa mkuu kwa hiyo rudi basi kwenye mada kuuWifi yako we si wa kike ndo mwandani wangu mimi si wifi yako? Ungekua wa kiume ningesema shemeji yako...anyway tuendelee
#11Sawa mkuu kwa hiyo rudi basi kwenye mada kuu
Wapi tatizoHbr wadau naomba maana ya maneno/misemo hii.
1. Ameenda nchi za nje. ( kwani nchi za ndani ni zipi)
2.Ameenda ng'ambo.( kenya nayo ni ng'ambo? Au ni ulaya tu
3.Ameenda Ughaibuni.( ndo wap? Ufaransa pia ni ughaibuni.
4.Ameenda Mamtoni ( hata Nigeria ni mamtoni?)
5. Jamaa yuko nje wiki ya pili sasa( Nje inamaanisha hasa ni nchi zipi)