Tatizo kiswahili hakijitoshekezi
wabongo tumeiga mfano WIRE _ WAYA hivi neno wire kwa kiswahili fasaha linaitwaje?
Kweli kabisa Mh Mulugo ni shahidi!Tatizo kiswahili hakijitoshekezi
Maxmam kima cha chini kabisa ujue kusoma na kuandika.Ofcoz anaechanganya kiingereza na kiswahili huyo ni uneducated yaani msomi.
issue-inshu
Indicator-endiketa
Radiator-rejeta
Kisipojitosheleza kinaazima kama lugha zingine. Lugha zote ukuwa hivyo. Kiingereza kimeazima maneno mengi kutoka Kilatini, Kifaransa na Kiarabu. Kwa mfano neno algebra katika hisababiti ni neno la Kiarabu. Wajapani wanasema Wandafuru wakiwa na maana ya wonderful. Muda unavyokwenda hayo maneno yanayoaazimwa yatakubalika kuwa ni maneno ya Kiswahili.Tatizo kiswahili hakijitoshekezi