Lugha gongana, Naombeni tafsiri ya “Received from” na “Issued to”

Lugha gongana, Naombeni tafsiri ya “Received from” na “Issued to”

Mtemi Eno

Member
Joined
Jul 10, 2023
Posts
37
Reaction score
148
Good afternoon members (sijui kama nimepatia 😂 )

Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja waliokuja kuchukua bidhaa .

Naombeni msaada kuibadili iwe kiswahili
 
RECEIVED FROM
hii ina maanisha mahali mzigo ulipotolewa hadi kufikia hapo ulipo

ISSUED TO
Hii inaamaanisha mahali mzigo ulipopelekwa mkuu
 
Asante ila Naona ni sentensi ndefu kidogo

Nimepokea kutoka kwa / nimepeleka kwa

Alafu sio mimi ndie napeleka, ni wao ndio wanakuja kuchukua,
Ndio Ila sometimes inategemea je ni bidhaa au ni hela
 
Sawa kihasibu records zinapaswa ziingizwe katika mfumo wa double entry, dukani mzigo unaweza kuuza Kwa cash au mkopo, pia unaweza kuhemea mzigo Kwa cash au mkopo! Kama dukani kwako umehemea mzigo Kwa mkopo kutoka Kwa juma, so juma atakupatia invoice note, ambayo katika vitabu vyako vya kumbukumbu utarecord katika kitabu cha purchase book on debit side Kama, I received invoice note from juma.
 
Good afternoon members (sijui kama nimepatia [emoji23] )

Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja waliokuja kuchukua bidhaa .

Naombeni msaada kuibadili iwe kiswahili
Imepokewa kutoka/ Imetolewa kwa.

Kwa ufupi zaidi unaweza kuandika:
Kutoka...
Kwenda....
 
Back
Top Bottom