ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
- Thread starter
-
- #21
ladyfurahia ndo maana ya vijimisemo
mpe Lady doctor huu hapa
- Ukimjua adui yako unamshinda kirahisi.....
ila wewe mwenzangu una misemo jamani unaitoa wapii hii yote umenivutia sana uko brighty
Ahsante Lady....Yani hapa umenena mwana kile kimtokacho mtu ndicho kilivyo kwa uhalisia wa nje