kituko1 Member Joined Jun 20, 2019 Posts 28 Reaction score 6 Jun 27, 2019 #1 Nataka kujfunz kiarabu vp apo kuna maticha???
princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,195 Reaction score 2,056 Jun 28, 2019 #2 Al hadji muuh naijainah ilu mshabab taaiihyaah.
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,020 Reaction score 6,161 Jun 28, 2019 #3 kituko1 said: Nataka kujfunz kiarabu vp apo kuna maticha??? Click to expand... Hivi unafikiri Waarabu wote wanaongea Kiarabu kile kile? Je unataka kujifunza Kiarabu cha nchi gani au ukanda gani? Hivi unafikiri Muarabu wa Morocco au Algeria akienda kule Middle East akaongea Kiarabu chake ataeleweka? Be specific chief kituko1.
kituko1 said: Nataka kujfunz kiarabu vp apo kuna maticha??? Click to expand... Hivi unafikiri Waarabu wote wanaongea Kiarabu kile kile? Je unataka kujifunza Kiarabu cha nchi gani au ukanda gani? Hivi unafikiri Muarabu wa Morocco au Algeria akienda kule Middle East akaongea Kiarabu chake ataeleweka? Be specific chief kituko1.