Matope
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 892
- 683
Taabu kidogo kwa Vijana wa leo Lugha na maandishi yalivyo unaweza pata shida kumuelewa haswa nini kakikusudia kubandika,
Unaweza pata rafiki tena akawa yupo chuo kikuu kabisa kabisa akawa anaandika hivi
Dhana kubwa ya haya maandishi ni nini ?? Uvivu wa kuandika neno lililokamilika???pengine ni maandishi mapya au tatizo ni nini??
Mfano=
Sasa=xoxo
I love you= I lv u
So = s
Kesho=kexho
Dear=d
School=skul
Na mengine Mengi sijui shida wapi kwenye Lugha zetu 😄😄😄😄