Uandishi wa aina hii unaudhiTaabu kidogo kwa Vijana wa leo Lugha na maandishi yalivyo unaweza pata shida kumuelewa haswa nini kakikusudia kubandika,
Unaweza pata rafiki tena akawa yupo chuo kikuu kabisa kabisa akawa anaandika hivi
Dhana kubwa ya haya maandishi ni nini ?? Uvivu wa kuandika neno lililokamilika???pengine ni maandishi mapya au tatizo ni nini??
Mfano=
Sasa=xoxo
I love you= I lv u
So = s
Kesho=kexho
Dear=d
School=skul
Na mengine Mengi sijui shida wapi kwenye Lugha zetu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Uandishi wa aina hii unaudhi
Bila kusahau wale wanaotumia "l" badala ya "r" au "r" badala ya "l"
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwalaumu vijana. Hii lugha inakubalika kati ya watu wa rika moja na hasa vijana na inafundishwa hata shuleniTaabu kidogo kwa Vijana wa leo Lugha na maandishi yalivyo unaweza pata shida kumuelewa haswa nini kakikusudia kubandika,
Unaweza pata rafiki tena akawa yupo chuo kikuu kabisa kabisa akawa anaandika hivi
Dhana kubwa ya haya maandishi ni nini ?? Uvivu wa kuandika neno lililokamilika???pengine ni maandishi mapya au tatizo ni nini??
Mfano=
Sasa=xoxo
I love you= I lv u
So = s
Kesho=kexho
Dear=d
School=skul
Na mengine Mengi sijui shida wapi kwenye Lugha zetu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huu uandishi unachefua aiseeKuna shida kubwa kwenye unaishi wa Lugha
sawa mkuu kama inakubalika kwa rika lao, kama ndio hivyo anapomuandikia mtu wa nje ya rika lake atumie maneno sahihi. Hilo la kufundishwa shuleni nalisikia kwako,labda mimi nilisoma zamani.Usiwalaumu vijana. Hii lugha inakubalika kati ya watu wa rika moja na hasa vijana na inafundishwa hata shuleni
Sent using Jamii Forums mobile app