dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 596
- 1,475
Lugha ni nyezo ya mawasiliano ambayo imekuwa na msaada mkubwa kwenye maisha ya binadamu kwenye maendeleo yake katika kila nyanja iwe ni kiuchumi, kisiasa kisaioilojia kisayansi, binadamu katumia lugha kusambaza elimu na maarifa na mengine mengi ila unajua kuwa lugha inamchango mkubwa kwenye fikra za binadamu, kuna takribani lugha 7000 zinazo ongewa duniani na zikiwa zinatofautiana katika muundo, mpangilio na sauti
Kuna kabila moja linaitwa kuktaya linapatikana huko nchini Australia ambao wao lugha yao hawatumii sana maneno kama kulia au kushoto ila hutumia mashariki, magharibi, kusini na kaskazini kwenye muelekeo mfano unaweza ukauliza duka la nguo lipo wapi badala ya kusema kushoto mwa barabara fulani anakwambia magharibi mwa barabara fulani au kusini magharibu, kitu ambacho mswahili atapata tabu kutambua kaskazini magharibu ila kwao ukimshtua hata mtoto wa miaka sita atakwambia bila shida
Kwa wanaongea kiarabu na ki hebrew wao husoma kutokea kulia kwenda kushoto ambacho ni tofauti na lugha nyingi. Swali Je mtu huyo akisoma muda atasoma kutokea kulia kwenda kushoto?.au atasoma kawaida
Kwenye idadi ya vitu kuna jamii wao lugha yao haina idadi kamili ya namba kama vile moja, mbili au tatu bali wao hutumia vitu vingi au vichache mfano ngombe wachache au wengi, . lugha pia zinatofautiana kwenye rangi mfano rangi ya blue kwa kiswahili tuna blue iliyokoza na blue bahari ila kuna lugha nyingine wao wana aina nyingi za blue mfano watu wa urusi wao wana aina nne za blue
Lugha Pia inautafauti kwenye jinsia ya vitu kama vile waswahili jua tunaliona kama jinsia ya kiume na mwezi jinsia ya kike mfano msichana akiwa kapendeza anangaa huwezi kumwambia anangaa kama jua ingawa jua pia linangaa ila utamwambia unangaa kama mwezi ila wajerumani wao jua ni jinsia ya kike na mwezi jinsia ya kiume
Kwenye ajali pia kuna utafauti mfano kingereza mtu akiumia mguu anasema “ I broke my leg” ila kwa kiswahili huwezi kusema hivo lau kama wewe ni kichaa na umeuvunja mkono wako mwenyewe kwa makusudi bila hivyo utasema”nimevujika mguu”
Tumeona jinsi gani lugha inavyoweza kubadilisha jinsi mtu anavyofikiri mfano kwa wasio kuwa na idadi ya namba kwenye lugha yao inakuwa ni vigumu kwenye kulinganisha vitu, pia uchungizi mwingi unaofanyika na wanasayansi kwenye ubongo unaangalia tu watu wanaotumia lugha za kingereza labda na lugha zilizopo ulaya ila huku afrika kuna lugha nyingi mno na watu wakifikiri tofauti utafiti uliofanyika na Carl jung akangudua kuwa pesonality za watu kuna INTROVERT NA EXTROVERT alifanya kwa kuangalia watu wanaishi marekani na bara la ulaya na nchi baadhi za Asia ila kuna makabila mengi afrika na asia wanaongea lugha tofauti wangejumuisha na wao huenda wakaongeza personality zikawa zaidi ya Introvert na Extrovert tu