Weshu N'zezeKisambaa chetu [emoji847]
Mi msambaa ila napenda wadigo wanavyoongea na wapemba Kwa sababu nimekaa nao sana.
Wasambaa wanakaza ulimi na meno yaani akiongea anatumia nguvu sana... Wadigo na wapemba wanaongea bila ya jazba bila hata mtu awe na hasira unaweza fikiria yupo kweny mood ya kawaida.
wairaq ,wapare na wamasai wananikera kupenda kusunya Kwa kutumia koo yaani unasikia sauti kweny koo ,ujue hapo mtu kakasirika ..Wapare utasikia "khaaarikha'
Ntana mghoshiWeshu N'zeze
Ukiwea?Ntana mghoshi
Kweli kabisa👏👏👏Kisambaa chetu [emoji847]
Kuna Ile kampuni jina lake lilienda viral Sana , HANA KU_MA COMPANY ha haaaKijapan hasa pale kumamoto takuma
Wazaramo, wapemba , Wadigo ,wandengereko ni nadra sana kuwakuta wanaongea kikabila...Na hata wakiongea maneno Yao mengi yapo wazi yanaendana na kiswahili.sijawahi kusikia wazaramo wakiongea lugha yao
duh hata kizaramo chenyewe hatukitambui.sijawahi kusikia wazaramo wakiongea lugha yao