Wachezaji wengi husema hivo kila wanapofika timu mpya ni kama wachezaji wa soka Tanzania, kila mechi inapoisha ukimpa Mic atoe maoni yake ataanza na: KWANZA NASHUKURU MUNGU.... kanakwamba hii salutation haiwezi kunenwa moyoni!Lugha ya kibiashara ni pale Ronaldo anaposema ilikuwa ni ndoto yake kucheza Juventusπππ.
Hii ndo lugha ya kibiashara ndugu zangu.
Dah! Kumbe nawewe umeliona hili? Si wachezaji si makocha akipewa mic lazima waanze hivyo najiulizaga kama kweli ni watu wa imani kwanini wasitamke kimoyomoyo? Ni kama kile kibwagizo cha "mpira una matokeo matatu" kinavyorudiwa rudiwa na kila aliyepoteza mechiKWANZA NASHUKURU MUNGU.... kanakwamba hii salutation haiwezi kunenwa moyoni!
Nanukuu "kinavyorudiwa na kila alie poteza mechi" walioshinda hua hawakumbukag hizi story za "mpira unamatokeo matatu" [emoji23] [emoji23]Dah! Kumbe nawewe umeliona hili? Si wachezaji si makocha akipewa mic lazima waanze hivyo najiulizaga kama kweli ni watu wa imani kwanini wasitamke kimoyomoyo? Ni kama kile kibwagizo cha "mpira una matokeo matatu" kinavyorudiwa rudiwa na kila aliyepoteza mechi
πππNanukuu "kinavyorudiwa na kila alie poteza mechi" walioshinda hua hawakumbukag hizi story za "mpira unamatokeo matatu" [emoji23] [emoji23]
Heading nzuri sana.. Ungetulia ungeweza kutengeneza post moja nzuri sanaLugha ya kibiashara ni pale Ronaldo anaposema ilikuwa ni ndoto yake kucheza Juventusπππ.
Hii ndo lugha ya kibiashara ndugu zangu.