Kwenye Kihaya naona L na R hazizingatiwi na zinatumika interchangeably, na matamshi yake ni yaleyale. Mfano hapo Dr. Diodorus Buberwa na Balozi Mbelwa Kairuki wote majina yao yanaweza tafsiriwa kama 'aliyebarikiwa' ingawa yana R na L.
Wakati huo jina Baraka kwa Kihaya chake ni Mugisha. So utakutana na Mugisha (me) ~ Baraka na Komugisha (ke~mwenye baraka).