Lugha ya Kiswahili

Lugha ya Kiswahili

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,710
Reaction score
76,243
Salaam wana jukwaa. Ama baada ya salaam leo katika jukwaa hili la lugha tutaongelea kuhusu lugha yetu adhimu ya Kiswahili ambayo inaendelea kukua siku baada ya siku.

Katika lugha yetu hii ya Kiswahili kuna baadhi ya maneno ambayo ni ya kimapokeo na sio wengi wetu tuliozaliwa katika kizazi hiki tulichopo tunafahamu maana yake/zake hivyo naomba twende pamoja katika kujua baadhi ya maneno ya Kiswahili na maana zake.

Nitaanzia na mameno yafuatayo:
1. Uchejua = Ni Neno halisi la kiswahili likiwa na maana upande jua linapochomoza, (Mashariki) sio kiswahili halisi bali ni neno linalotokana na Kiarabu.

2.Urejua = Ni neno halisi la kiswahili likiwa na maana upande jua linapozama, (Magharibi) sio kiswahili halisi bali ni neno linalotokana na Kiarabu.

3. Mava/Mavani = Ni neno halisi la kiswahili ambalo maana yake ni eneo/maeneo watu hutumia kwa ajili ya kuzikana. Hapa pia neno makaburini sio neno halisi la kiswahili bali pia linatokana na Kiarabu.

4. Dafrao = Ni neno halisi la kiswahili likiwa na maana, tukio la ghafla ambalo hupelekea kuumia, kifo au hasara. Hivyo pia tunakuta neno ajali ni neno la Kiarabu.

Na kwa yeyote mwenye uelewa wa lugha, mwenye neno linalomtatiza, na mwenye kupenda kujua maneno ya kiswahili anaweza kuchangia.
 
Weka na hayo maneno ya asili ya ligha hiyo
 
Labda huoni au hujaelewa!
Mfano nataka ulete neno halisi la hili hapa 👇👇👇
Uchejua = Ni Neno halisi la kiswahili likiwa na maana upande jua linapochomoza, (Mashariki) sio kiswahili halisi
Hapo umesema uchejua
Uchejua = Ni Neno halisi la kiswahili likiwa na maana upande jua linapochomoza, (Mashariki) sio kiswahili halisi bali ni neno linalotokana na Kiarabu.
Hapo umesema uchejua sio neno halisi la kiswahili bali linatokana na kiarabu.

Sasa nikataka kujua hilo neno la kiarabu ambalo kwalo neno uchejua limetoka hapo
 
Mfano nataka ulete neno halisi la hili hapa [emoji116][emoji116][emoji116]

Hapo umesema uchejua

Hapo umesema uchejua sio neno halisi la kiswahili bali linatokana na kiarabu.

Sasa nikataka kujua hilo neno la kiarabu ambalo kwalo neno uchejua limetoka hapo
Neno Magharibi, ndio nimesema sio lenye asili ya kiswahili! Angalia vizuri au huelewi??
Angalia kwenye mabano.
 
Back
Top Bottom