Lugha ya Mwili (BODY LANGUAGE)

Bado nafail kusoma body language za watu
 
Hapo umenilenga mkuu, maana mimi nikikasirika kupita kiasi huwa natabasamu, nikiwa kawaida mtu unaweza kufikiri nimekasirika yaani huwa nawapa wakati mgumu kweli kazini, naweza kuongea jambo sirious nikiwa nimekasirika lakini mtu atahisi natania/nipo kawaida mpaka ni msisitize kwa Body language huku nikionyesha sitaki utani ndo hunielewa
 
Wakuu body language wa dem mwenye nyege namjuaje ?? Lol

Ili tujue tunaenda na gear gan. [emoji23][emoji23]
Macho yatamlegea,hata kama ana macho malegevu basi hapa yatakuwa mara 3 yake. Viungo vyake vitakosa ushirikiano na mwili wake,hapa kila utachogusa hajiwezi.
Wengine sauti inabadilika na anaitolea puani au kama ya kudeka hivi.
Maongezi yanabadilika kutoka kuongea hoja zinazoeleweka hadi kuongea vitu visivyokuwa na mpangilio.
 
Bado nafail kusoma body language za watu
Ni kitu cha kufatiliaa maraa kwa maraa , wengine ipo natural kujua kusoma, wengine itabidi upat muda ujifunze zaidi
 

Kicheko fake kinaonekana.
Kicheko cha furaha na kisicho cha furaha vinatofauti kubwa, halafu ujumbe wa mwili kuepuka mkanganyiko hausomwi kwa tendo moja pekeee

Pitch ya sauti, macho, koromeo, movement za mikono etc.

So kusanya na angalia detail nyingi huwezavyo kuwa na hakika zaidi
 
Mkuu, Mimi mpaka unizoee vinginevyo nitakusumbua sana
 
Siku hizi unaongea na mtu yuko busy na tecno boom
Ukion unaongea na mtu then hakuangaliii , anafanya jambo jingine juaa

1. Hayupo interested na unalo zungumza.

2. Amekuzarau.

Kila kitu kinaongeaa mkuuuu.
 
Jina lako na ulichokiandika vinashabihiana ..... big up to u
 
kuna boss wangu alikua mzungu ukiona anacheka ujue hapo amekasirika hadi mwisho yani kimbia mbali.
 
Je kuna tofauti gani kati ya body language na luga ya alama ya viziwi?
 
0
Nahitaj saaana kujifunza.... body language... msaada wa application.. pdf notes au njia yoyote ya kujifundisha simple and basic body language
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…