Lugha ya Picha

Ikiwa kuna waongo, basi na wa kweli wapo, ikiwa kuna dini ya uongo basi na dini ya kweli ipo.

Kubali tu ipo dini ya kweli sema hujaijua kwa sababu wewe ni mbishi.
ndo hoja yangu, dini ya kweli ni ipi?

mfano hapa tz, mkristo anaona yake sahihi, muislamu nae hivyo hivyo.... ipi ndo sahihi? huoni inaleta sintofahamu?

na kwanini huyo mungu aruhusu?
 
Ikiwa kuna waongo, basi na wa kweli wapo, ikiwa kuna dini ya uongo basi na dini ya kweli ipo.

Kubali tu ipo dini ya kweli sema hujaijua kwa sababu wewe ni mbishi.
Kusema dini ya kweli ni sawa na nkwambie Kwamba kuna rangi ya kijani ambayo ni blue!?

Ukitamka dini tu, tyari umeshasema uongo.

Haipo dini ya kweli

Labda wewe kama unayo utueleze
 
Usiwe unakimhilia ku comment kabla ya kusoma unachotaka kupinga, andiko lipo
Umetaka kunielewa kwa kadiri ya ulivyofikiria wewe

Na unadhani najadili imani

La hasha.

Natambua andiko lipo

Ila nmetaka uniambie huo mstari uliounukuu hapa umetokea wapi kama siyo mawazo ya watu wenye mtzamo kama wewe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…