Maji Baridi
Senior Member
- Dec 17, 2017
- 120
- 134
SawaaaSeñorita - hii ndio spelling sahihi.
ñ - kwenye lugha ya Hii ni nya, nye nyi, nyi, nyo, nyu.
ña, ñe, ñi, ño, ñu...
Cadamblancaa oooh mama sitaa na senyoritaaaa[emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445]hahaha
Estas locoPuta madre
BarcaForca
Nimeipenda hii lugha
Niko Dar, ni wapi naweza kufundishwa kihispaniola
Ahsante sana mkuuMtafute mwanafunzi wangu mmoja hapo DSM, njoo prvt nikupe namba yake ya simu.
Kama mko serious undeni group la telegram/ WhatsApp (ingawa hii ni watu si zaidi ya 3
Wadau wale wanazungumza lugha ya hispania hapa ndio tuongeze maujuzi maujanja tuchat kwa lugha hii tusipoteze dira ili na wale amabao wana uelewa mdogo waendelee kuzoea.
Ushauri
Tufanye yetu humu.
Ili tusisahau lugha hii tuliobahatika kuwa nayooo....
Karibunii. View attachment 731714
Months of the year
Please Save and practiceView attachment 742855
Ulijifunzaje structure yake? Kama ulienda lg course sawa ila kwa hzo accent sign si rahisikama ni mpenzi wa TV shows, ni mwalimu mzuri. Kwangu mim spanish movies na Tv shows with Eng subtittles ni mwl mzuri mno.
Ungeweka na eg ingependezaKuna baadhi ya herufi zinatamkwa kivingine
Na inategemea pia ni spanish ya Spain au ya South America
Kwa mfano Spain
"c" inatamkwa "th"
"d" inatamkwa "dh" (hapa inategemea na d yenyewe ipo sehem gani ya neno)
"ñ"......." ny"
"ll" zinatamkwa kama "y"
"b" inatamkwa "v" (inategemea ipo sehem gani ya neno)
"g"........" gh"
Nk