deecarter
Member
- Aug 24, 2019
- 23
- 64
Dah hua nafurahi sana kusikia kunanchi zimeanza kuitumia lugha ya kiswahili kama lugha inayotumika mashuleni au hata kuipitisha kuwa lugha ya taifa kama majirani kenya na kwasasa nchi zote zinazo izunguka tanzania kwenye mipaka yote zinaonge kiswahili sio chini ya 30% wakiongozwa na Kenya ambayo inaongea kiswahili kwa 60% na 15% wanajua kukiongea na kuandika kiswahili Uganda 40% zikifuatiwa na nchi nyingine nyingi zinazo izunguka tanzania
vipi wale mnao tumia kiswahili kujibizana na wenye lugha hamjui hata huo ni ukoloni
hapo vipi wakikuyu nanyinyi pitisheni kijaluo ili nasisi majilani zenu tukiongee
vipi wale mnao tumia kiswahili kujibizana na wenye lugha hamjui hata huo ni ukoloni
hapo vipi wakikuyu nanyinyi pitisheni kijaluo ili nasisi majilani zenu tukiongee