Unasemeje JF-Expert Member Joined Apr 29, 2021 Posts 249 Reaction score 923 Aug 3, 2023 Thread starter #21 Mr.Wenger said: Wachina wanatumia lugha gani, mbona wao wako vizuri tu Click to expand... Kiswahili umetumia zaidi ya miaka 60 kimekufikisha wapi?
Mr.Wenger said: Wachina wanatumia lugha gani, mbona wao wako vizuri tu Click to expand... Kiswahili umetumia zaidi ya miaka 60 kimekufikisha wapi?
Mr.Wenger JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 2,569 Reaction score 6,165 Aug 4, 2023 #22 Unasemeje said: Kiswahili umetumia zaidi ya miaka 60 kimekufikisha wapi? Click to expand... Kuchelewa kwenu sio sababu ya kiswahili, Uganda na Kenya wanatumia English kimewafikisha wapi?
Unasemeje said: Kiswahili umetumia zaidi ya miaka 60 kimekufikisha wapi? Click to expand... Kuchelewa kwenu sio sababu ya kiswahili, Uganda na Kenya wanatumia English kimewafikisha wapi?