Lugha za kidiplomasia zina raha na utamu wake

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
I can neither confirm nor deny that any intelligence was shared to facilitate last night's operation.
Kwa kweli
When a diplomat says yes, he means perhaps; when he says perhaps, he means no; when he says no, he is no diplomat.
 
Hata uswahilini lugha Kali za kidiplomasia zipo .Mfano unamwambia Mtu karibu chakula anakujibu Asante.

Swali hiyo Asante yake maana yake nini? anakuja kula au haji?
 
The sweetest thing to know is Africa has its own diplomatic language.
 
Hata uswahilini lugha Kali za kidiplomasia zipo .Mfano unamwambia Mtu karibu chakula anakujibu Asante.

Swali hiyo Asante yake maana yake Nini anakuja Kula au haji?
Au mtu anasema viongozi waache 'kujimwambafai'.

Lugha ya kidiplomasia ila watu wana-paniki.
 
I can neither confirm nor deny that any intelligence was shared to facilitate last night's operation.
Kwa kweli
When a diplomat says yes, he means perhaps; when he says perhaps, he means no; when he says no, he is no diplomat.

Nimeipenda hii
😂😂
 
Hata uswahilini lugha Kali za kidiplomasia zipo .Mfano unamwambia Mtu karibu chakula anakujibu Asante.

Swali hiyo Asante yake maana yake Nini anakuja Kula au haji?

Bora huyo anayesema "karibu chakula"
Mwingine unaaga kuwa unaondoka kwenda kwenu usiku, anakuambia "haa usiku namna hii si ulale utakwenda kesho?" Huku anajua ana chumba kimoja na kitanda kimoja na yeye ni mke wa mtu nawe mme wa mtu.
 
Hii haijawahi kutokea bana,umeweka chai na maharage.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom