Lugha za watu ...... Bwana!

Lugha za watu ...... Bwana!

WILSON MWIJAGE

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2011
Posts
276
Reaction score
78
Ngugu,

Nikawa nchini Uganda kuhudhuria mafunzo ya muda mfupi (short course) Kuhusiana na Community Care in HIV/AIDS. Asubuhi moja nikagundua sijachana nywele kwa sababu sina kichano (comb), ngoma haikuwa nimuombe nani bali niombeje maana sikujua kamwe kinaitwaje kwa kingereza.

Nikawa kwenye sherehe ya ukaribisho (reception party) nchini Zimbabwe, wahudumu walitanguliza juisi kwenye glasi kubwaaa na kila mmoja alipewa mrija wa kunywea hiyo juisi ispokuwa mimi - nadhani alisahau. Suala likaja niombeje sijui mrija wakati siujui kwa kingereza? Nilinyanyuka na kwenda kaunta nikaomba kwa kuonyesha kidole boksi la mirija.


Hizo ndizo lugha za wenzetu
 
Back
Top Bottom