Lugha

Lugha

mabina

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
218
Reaction score
27
Jamani naombeni msaada. Nnamapungufu ya kuongea lugha hii ya kigeni (english/kingereza) lakini napenda niijue vizuri na niweza kuongea kama naongea kiswahili. Nifanyeje niweze kuimudu?
 
Anza na British council for english progras. zipo program zitakazo kusaidia kuongea.
Ila cha msingi hata ukimaliza hiyo kozi, jaribu kuongea kiingereza ktk mawasiliano yako ya kila siku hata kama unakosea.
 
anaanzaje Bon Mpe mwangaza procedure gani afanye !
 
Naskia hao BRTSH CONC. wanamkasi mrefu ( tuition fee)[/QUOTE]

ukiogopa 'mkasi' rafiki yangu unaweza usifikie lengo lako. Mambo mazuri yana gharama. Hizi kozi za bei rahisi nyingi "za kichina". Napenda pia kukushauri kuwa, wakati au baada ya kupiga kozi yako, jiweke ktk mazingira flani yatakayokufanya upongeponge ung'eng'e. Kwa mfano, tazama movies zenye 'subtitles' za english, soma novels, cheki media inayotangaza news kwa kiingereza kama BBC, CNN, DWTV n.k. Pia soma magazeti kama The Guardian, Sunday News n.k. Katika mambo hayo yote, usisahau kuwa mdadisi. Ukikutana na msamiati usiouelewa, jaribu kuulizauliza kwa wakali wa haya mambo. La mwisho, tafuta dictionary au kama unayo that's great! Napendekeza uwe na ile 'Oxford Advanced Learners' kubwa ya English-English. Good luck!
 
Ahsanteni, uoga/aibu ya kkosea nayo inachangia mimi nsjiamin, huo ujasiri ntaupata kweli.Naskia hao BRTSH CONC. wanamkasi mrefu ( tuition fee)

usiogope, hiyo sio lugha yako ongea hivyo hivyo ukibofoa ndio kujifunza...mbona hata wazungu wasioongea kiingereza (wafaransa,wataliano, n.k) huwa wanabofoa tu....wallah kingledha kinauma
 
usiogope, hiyo sio lugha yako ongea hivyo hivyo ukibofoa ndio kujifunza...mbona hata wazungu wasioongea kiingereza (wafaransa,wataliano, n.k) huwa wanabofoa tu....wallah kingledha kinauma

hahaha Preta mie niko nao chao pia cha kuunga unga tu ...
 
Back
Top Bottom