GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
jamani wamesilimisha, kwahiyo kuanzia sasa tunamwita ustaadhi Mpina
 
ngoja tuthibitishe hizi taarifa.ila bila reforms atapata kura yake tu.Mama atahakikisha anamkomesha kabisa.
 
luanga mpina ni fundi sana anaweza shida huyu kazi yake kutetea maslai ya taifa ila sasa hivi ccm hawataki kabisa ukweli hata kidogo asee haya tukiachana na mpina


🔥 Jamani kuna elimu ya nguvu kuhusu jinsi ya kuanza biashara ya madini!
Nimeiweka Jamiiforums, mwongozo mzima wa biashara ya dhahabu Tanzania uko pale! 📚🟡


👉 Soma hapa:
🔗 Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania (Mwongozo Kamili) – JF


🎯 Kama unataka kuwa nondo kwenye biashara ya madini, usikose hii post!
🛑 Elimu ni bure, kuchukua hatua ni juu yako!
 
Ngoja tuendelee na mchakato wa kurudisha mashamba yetu ya Morogoro, alitudhulumu mb. Waa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…