Pre GE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
You are using a strawman argument logical fallacy.

You are arguing against a point I did not make.

Sijasema kuna absolute anything anywhere.

Even this statement is not absolute.
 

Sihitaji kutumia akili nyingi kwenye huu mjadala, nataka kusema hivi kilichotokea mpaka spika akajiulizu mwenyewe kinawezekana hata mahakamani.

Unaelewa nachozungumza ni vile hutaki
 
Sihitaji kutumia akili nyingi kwenye huu mjadala, nataka kusema hivi kilichotokea mpaka spika akajiulizu mwenyewe kinawezekana hata mahakamani.

Unaelewa nachozungumza ni vile hutaki
Kwani wapi nimesema hakiwezekani?

What is your point?

Hoja yangu umeielewa?
 
Bunge la Tanzania sio la mfumo wa common wealth in practice. Kwenye bunge la commonwealth speaker anatakiwa kuwa neutral.
Pia hata kama bunge lingekuwa la mfumo wa commonwealth pande nyingine za utawala(mahakama na executive) haviko katika mfumo commonwealth na havifungiwi na mfumo huo.
 
First things first.

Bunge la Tanzania ni bunge lililo mwanachama wa mabunge ya Commonwealth duniani.


Let's get that fact straight and clear.
 
Ha ha ha, Nashukuru ume admit mwenyewe Court can make a judgement against speaker. Kitu ambacho ulikuwa hukubali mwanzo.

That being settled, umekuja na kihoja kipya cha deviation from common law standards.

Nakujibu ifuatavyo, Namibia is Sovereign state, thus, it’s not bound to abide by any external influence on conducting it’s internal affairs within geographical boundaries.

Similarly, Court of law are not bound to follow every common law practices ( they’re usually persuasive not binding upon courts).

For those reasons stated, it was not alien thing for Namibia to deviate from common law standard.

Likewise Tanzania, it’s sovereign state, is free from conducting it’s internal affairs from external pressure including judiciary’s freedom to depart from common law practices.

Hoja yako ya Deviation is obsolete in the eyes of law.
 
Nimeisoma yote. Kesi yenyewe inasema kuwa Namibia wame deviate from Commonwealth countries standards kwa sababu ya katiba yao. The judgement, despite being against the Speaker, is making my point.
It only proves point of sovereignty.
 
Nuance my dude, nuance. Nimekuwa very nuanced kwenye arguments zangu, ila hutaki kuona nuance.

Ukweli ni kwamba, sijasema kuwa court haiwezi kumhukumu Spika.

To the contrary, nimesema explicitly kwamba Spika anaweza kuhujumiwa na mahakama. Nikatoa mfano kwamba Spika akipigana na jirani yake, anaweza kushitakiwa na kuhukumiwa na mahakama.

Again, you are making a strawman argument logical fallacy.
 
You are using a strawman argument logical fallacy.

You are arguing against a point I did not make.

Sijasema kuna absolute anything anywhere.

Even this statement is not absolute.
By implication you did say each organ should not meddle into affairs of other organs because of separation of power, And in theory, Separation of power are of two kinds, Absolute ( total) separation of power and Partial ( neutral) separation of power.

Based on your previous arguments, you implied absolute separation of power.
 
It only proves point of sovereignty.
Which proves that Tanzania can and has entrenched itself even more towards parliamentary immunity by having a law that explicitly protects the Speaker from the courts.

Even your sovereignty point shows that Tanzania can go, and did go, far and above the usual Commonwealth countries constitutional parliamentary immunity.
 
WRONG!

Ulisema nikuletee judgement duniani among common law countries ambapo Mahakama imetoa hukumu dhidi ya spika, you were denying hakuna hichi kitu.

Nikuletea ushahidi wa kimaandishi unaleta siasa 😂
 

No implication is needed where I stated things categorically.

Nimeandika hapa Spika anaweza kuhukumiwa na mahakama.

Hujafuatilia nilichoandika tu.
 
NOPE!!

It only shows Tanzania through Judiciary is free to adjudicate any dispute brought before it without be bound by parliamentary immunity and separation of power as defense from Speaker when she/he abrogates laws of the country. Namibia serves best example here.
 
No implication is needed where I stated things categorically.

Nimeandika hapa Spika anaweza kuhukumiwa na mahakama.

Hujafuatilia nilichoandika tu.
Sio kweli.

Leta ushahidi wa post zile za mwanzo ukikubali spika anaweza hukumiwa na Mahakama among common law countries.

I’m waiting!
 
WRONG!

Ulisema nikuletee judgement duniani among common law countries ambapo Mahakama imetoa hukumu dhidi ya spika, you were denying hakuna hichi kitu.

Nikuletea ushahidi wa kimaandishi unaleta siasa 😂
Hiyo judgement yenyewe imejionesha kuwa ni unusual, imesema katika nchi za Commonwealth kama Uingereza, South Africa, Zimbabwe, Canada na India kitu hiki si cha kawaida, kimewezekana Namibia kutokana na katiba yao tu.

Tanzania tumeenda mbali zaidi ya Commonwealth constitutional separation of powers kwa kuweka sheria maalum ya kuwa protect rais, jaji mkuu na spika kutoka kushitakiwa mahakamani.

Kuna jamaa alimshitaki Magufuli, wanasheria wa Serikali wakafikiri presidential immunity itamlinda Magufuli, ikaonekana haitamlinda, wakatunga sheria mpya ya kuwalinda Rais, Jaji Mkuu na Spika kutoka kushitakiwa mahakamani.

Kumbuka Adoo Shaibu vs Honorable John Pombe Magufuli


Subiri uone Mpina atakavyorudishwa Bungeni kwenye kesi ya Spika.

Angalia immunity act


Kwa nini unaandikia mate wakati wino upo?
 

Attachments

Sio kweli.

Leta ushahidi wa post zile za mwanzo ukikubali spika anaweza hukumiwa na Mahakama among common law countries.

I’m waiting!
Ushahidi wa kutetea hoja yangu unataka kunichagulia wewe?

Does that make sense to you?
 
Mawakili 100 wa kesi ya Mpina mbunge wa Kisesa anayepinga hatua ya maamuzi ya Bunge si haki hivyo kwenda mahakamani

Je mahakama zetu zinaweza kuamua kuwa Bunge la Dodoma limeteleza katika maamuzi yake kwa kuwa ni kinyume na katiba ? Tusubiri kesi hizi 3 za mbunge Mpinga J. Luhanga zitatolewa maamuzi gani na tafsiri gani na mahakama zetu za Tanzania.




BREAKING NEWS :

Nairobi, Kenya
NCHI JIRANI WAMEWEZA KUUPINGA MUSWADA WA FEDHA WA BUNGE MAHAKAMANI

31 July 2024

Pigo lingine kwa Ruto kortini Sheria ya Fedha 2023 ikitajwa kukiuka katiba​


MAHAKAMA ya Rufaa imepiga msumari wa mwisho kwenye jeneza la Sheria ya Fedha 2023, kwa kukubaliana na uamuzi wa Mahakama Kuu uliotaja sheria hiyo kuwa kinyume na katiba.

Wakikatalia mbali sheria hiyo ambayo ilikuwa na aina mbali mbali za ushuru ikiwemo Ushuru wa Nyumba ambao ulizua vurumai kote nchini, majaji walisema mchakato wa kuunda sheria hiyo ulikuwa na dosari na kwamba ulikiuka Katiba.

“Kwa sababu hiyo, tunatangaza kwamba kutekelezwa kwa Sheria ya Fedha, 2023 kuwa kulikiuka vifungu 220 (1) (a) na 221 vya Katiba vikisomwa pamoja na Sehemu 37,39A na 40 vya PDMA ambavyo vinaeleza bayana hatua za kutengeneza bajeti, hivyo kufanya Sheria ya Fedha 2023 kuwa kinyume na sheria,”majaji Kathurima M’Inoti, Agnes Murgor na John Mativo wakasema Jumatano, Julai 31
Source : Taifa Leo

U.S. News & World Report
https://www.usnews.com › articles
Kenyan Court Nullifies 2023 Finance Law in New Blow to President Ruto


1 hour ago — NAIROBI (Reuters) - Kenya's Court of Appeal on Wednesday declared the government's 2023 finance law unconstitutional, inflicting a new
 
Unusual kivipi wakati kuna precedent ya 1999 ya South Africa, ambapo Speaker of the National Assembly was held liable by Court following misconduct of affairs within parliament? The Court had vehemently denied defense raised by Speaker on Parliamentary immunity.

Nimekuwekea case usome.

Na nilikwambia tangu mwanzo precedents zipo ni za kutafuta tu.

Now I can rest my case b’se I’ve successfully defended my claim that Speaker of National Assembly same like Ours in Tanzania can be subject to Judicial review based on his decision, which Court has power to set aside and order for Compliance, You strongly opposed this by pointing out parliamentary immunity and Separation of power.
 

Attachments

Judgement uliyoiweka wewe mwenyewe ndiyo imesema hayo maneno, si mimi.

Unajifunga kwa mambo uliyoyaweka wewe mwenyewe.

Hivi huwa hata unasoma kwa kina unachoweka hapa au unaangalia hukumu tu?

Subiri uone mahakama itasema nini halafu urudi hapa tuone mbivu na mbichi ni zipi.
 
Ushahidi wa kutetea hoja yangu unataka kunichagulia wewe?

Does that make sense to you?
Ha ha ha, look at you now.

I have struck out and invalidated all your cheap arguments that speaker while conducting his/her affairs within parliament cannot be accountable before court of law.

While you might not have expected it , now your ignorance on judicial review of legislative affairs has been warded off.

I’m really grateful for that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…