Pre GE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hujajibu swali.

Ushahidi wa kutetea hoja yangu unataka kunichagulia wewe niutoe wapi?

Hata wewe mwenyewe unaona hilo jambo ni sawa?
 
Nimekuwekea Judgement dated 1999 from South Africa, to show you Speaker of National Assembly being accountable before Court of law is not UNUSUAL. It has happened decades ago.

Soma judgement uelewe kivipi ulikuwa narrow to deny liability of speaker’s decision before court of law.
 
Hujajibu swali.

Ushahidi wa kutetea hoja yangu unataka kunichagulia wewe niutoe wapi?

Hata wewe mwenyewe unaona hilo jambo ni sawa?
Hujanilitea ushahidi unao support your argument kwamba “ulikubali spika anaweza kuhukumiwa na Mahakama on affairs done within her/his house “. WHERE DID YOU AGREE ON OUR EARLY ARGUMENTS BEFORE TODAY?

You didn’t, now that you know where you went wrong, you want to admit you were right speaker can be held accountable before court law on conduct of his or her own affairs within the house.

Better stick and be true to your wrong line of arguments 😂
 
Sasa badala ya kuomba ushahidi ili kupata ukweli unajidhihirisha hujali ushahidi wala ukweli.

Unajali kushinda ligi.
 
Sasa badala ya kuomba ushahidi ili kupata ukweli unajidhihirisha hujali ushahidi wala ukweli.

Unajali kushinda ligi.
I didn’t say anything about it. “Kushinda ligi”
You’re the one saying that after I have made you look a looser on your wrong line of thinking and facts.
 
I didn’t say anything about it. “Kushinda ligi”
You’re the one saying that after I have made you look a looser on your wrong line of thinking and facts.
The whole "I have made you look a looser" (terrible grammar and spelling by the way) is showing that you are in this with an egotistical drive to emerge the winner, more than to find out the truth.

Ad hominem attack logical fallacy.

I am discussing jurisprudence and legal concepts. You are discussing me.

I am above that petty squabbles of status anxiety shit that you seem to be obsessed with.

Nas said it best.

"Much success to you, even if you wish me the opposite.
Sooner or later we will all see who the prophet is" - Nas Is Like.


View: https://youtu.be/VC4ORS5n9Hg?si=9wNUhj-0kTL6Dolp
 
Ha ha ha! If you lose arguments it makes you a loser. You wanted to be a winner instead?

Talking about grammar see the screenshot of your words on bracket, wtf is “tje “ ? 😂

It’s funny pointing someone’s errors while you have got one on a plain sight.

I’m happily leaving today’s discussion knowing that I have managed to ward off your ignorance on areas of constitutional law. Bye 👋.
 

Attachments

  • F131D891-96A5-4DB1-B1D4-B81CCD23CD52.jpeg
    559.4 KB · Views: 3
Wajuzi wa sheria waje.tliambiwa Bunge linatunga sheria, Mahakama inatafsiri na serikali inatekleza-kama sikosei. Hivyo ni bora kungojea mahakama itafsiri, kama itaogopa kutenda haki sijui. Mawakili wote hao wasijue kwamba hyo kesi haina mantiq na kwamba tulioko huku tunajua zaidi!! Nlivolelewa, nimeaminishwa kuwa asiyeshtakiwa ni Rais tu- tutulie, tuskie- iko raha
 
Hata huyo rais watu walifikiri hashitakiwi, akashitakiwa mpaka wakaona watunge sheria mpya ya kumkinga.

Usikariri.

Na usifanye logical fallacy za argument from authority na argument from popularity kwenue hao wanasheria 100.

Subiri uone watakavyopigwa na kitu kizito kwenye kesi ya Spika halafu walielie kuhusu amri kutoka juu.
 
👊
 

You do not understand a typographycal error such as tje for the, and from someone who does not understand the difference between looser and loser.

You are discussing me. I am discussing jurisprudence.

Small minds discuss people. Average minds discuss events. Great minds discuss ideas.

You are discussing me. I am discussing jurisprudence.

Subiri Mpina apigwe daflao kwenye kesi ya Spika halafu urudi hapa kulialia mahakama imehukumu kwa amri kutoka juu.
 
KENYA, mara nyingi tu.
 
Hapo Kenya pia spika na bunge lake huwa wanapelekwa mahakamani mara nyingi tu na mahakama inawagonga nyundo vizuri tu.
 
Kenya wana katiba tofauti sana na Tanzania, mpaka uchaguzi wa rais wanaweza kuu challenge mahakamani.

Hawana sheria za kijinga za immunity kwa viongozi kama rais, makamu wa rais, waziri mkuu, jaji mkuu, spika na naibu spika. Ambazo sisi tunazo.

Ni vigumu sana kuchukua mfano wa Kenya na kuutumia Tanzania.

Inaleta logical non sequitur fallacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…