johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hizo ni game plans kutoka kwa chupa na mfuniko ili tuionekane mahakama zipo huru...Wengine Walisema mwalimu Nyerere alitaka Salim Ahmed Salim ndio awe mrithi wake mwaka ule 11985 lakini Waunguja wakakataa
Ninachokiona kwa Mpina ni kukataliwa na Wahafidhina ndani ya ACT wazalendo wanaoamini katika β project β
Kitambo sana πΌπ
Mpina na Samia lao moja.
Ningekuambia alienambia lakini utasema nimekuvunjia heshima.Ndivyo walivyokuambia ??
Ugomvi wa Mpina na Samia ni real.Mpina na Samia lao moja.
Nothing is ever real in politics.Ugomvi wa Mpina na Samia ni real.
Ulitaka kuleta matusi?Ningekuambia alienambia lakini utasema nimekuvunjia heshima.
Mwaka gani huu mkuu πmwaka ule 11985