Luhaga Mpina anaongozwa na chuki na ukabila kuliko uzalendo na ukweli. Ushahidi huu hapa

Hakuna ukabila mnataka kupotosha wahuni wahed nyie. Wakabila na wadini tunawafahamu sana.
Ukabila sababu ufisadi ule ule wa makamba kama ilivyo kwa CCM yote unafanywa na Biteko pia ila hagusiki.

Mfano pesa za kuchelewesha mradi mpaka leo hatujalipwa na Biteko kapotezea ila cha ajabu Mpina hamgusi.
 
Hoja za kutolipwa CSR si waziri ni Biteko? Au Makamba ndio ana majibu? Mfano IPTL haijalipa fedha zetu sasa waziri si Biteko ama?
😂😂😂Bora ungeficha upumbavu wako kwa kukaa kimya tu
 
Ukabila sababu ufisadi ule ule wa makamba kama ilivyo kwa CCM yote unafanywa na Biteko pia ila hagusiki.

Mfano pesa za kuchelewesha mradi mpaka leo hatujalipwa na Biteko kapotezea ila cha ajabu Mpina hamgusi.
Makamba akuoe tu
 
Usikute tunabishana na wife wa makamba
 

Wewe ndio unaongozwa na chuki kwa sababu ya kabila lake na pia chuki ulizonazo kwa sababu za kidini. Maandiko yako mengi yanaonyesha mlengo wako. Chuki za kidini zimekutawala kama bibi yako Faiza. Jibu hoja zake kwa ushahidi uliotukuka.
 
Wewe ndio unaongozwa na chuki kwa sababu ya kabila lake na pia chuki ulizonazo kwa sababu za kidini. Maandiko yako mengi yanaonyesha mlengo wako. Chuki za kidini zimekutawala kama bibi yako Faiza. Jibu hoja zake kwa ushahidi uliotukuka.
Hoja gani nijibu? Ni kweli tunapaswa kulipwa CSR na IPTL!! Sasa anayepaswa kudai hizo pesa ni Biteko maana ndio waziri mwenye dhamana na hivyo makamba hahusiki.

Mnaelewa hoja iliyopo mezani?
 
Hii story uliyowasilisha ni kama vile nilikwisha isikia kitambo sana.
 
Siyo mitazamo ya waTanzania ni mtazamo wako wewe na unafurahia tunavyopigwa. Sisi tunaokujibu ni Wacongo?
 
Hoja gani nijibu? Ni kweli tunapaswa kulipwa CSR na IPTL!! Sasa anayepaswa kudai hizo pesa ni Biteko maana ndio waziri mwenye dhamana na hivyo makamba hahusiki.

Mnaelewa hoja iliyopo mezani?
Atadaiwaje Biteko ilhali aliyeharibu yupo? Asitajwe Kwa nn? Hizo staili za kipeana misala hatutaki. Kwa hiyo kama waziri akiharibu asitolewe mpaka amalize tatizo? Kwa mfano jambo lililotokea wakati Nape yupo wizara ya habari kama lilikuwa zuri asitajwe atajwe aliyepo?
 
Kama kipindi cha JPM kilikuwa na ufisadi fanya kama anavyofanya Mpina na vielelezo, siyo maneno matupu.
 
Unataka kusema watu wasidai maendeleo kama maji, barabara, umeme, shule, hospital nk kisa eti kwa vile hivyo vitu havikuwepo toka uhuru na Kwanini wavidai sasaivi, akili yako inamapungufu makubwa sana.
 
Hakuna kiongozi wa ccm mwenye mapenzi mema na wa Tanzania
 
Hahaha nilitaka niwe wa mwisho ku comment, maana ningeanza mimi ungesema na mtetea Mpina. Sijui chuki yako kwa mpina ni nini hasa, yani hadi huoni kwamba mpina anatetea maslahi ya nchi na anapambana na kikundi cha wezi na wala rushwa wakubwa nchi hii.
Mimi nawewe tumebishana muda mrefu kuhusu mpina nadhani niishie hapa, comments zinajieleza.
 
CAG ndiye aliyeibua hiyo hoja
CAG alisema kuna 1.5 Trillion missing, well & good; lakini alitoa evidence ipi kwamba hizo pesa JPM kaweka mfukoni; debate ilienda na kugundua kuwa kulikuwa na private account ambayo ilikuwa legal ikulu Hazina ina-divert matumizi Kwenda kule kwa emergency use.

Lakini binafsi kama yeye hiyo evidence ipo wapi? Sasa uje huku sasa kwa mfano deal ya Sukari, obvious hard evidence inaonyesha kuwa kule juu kuna mtu anamlinda Bashe; deal ya 500 billion TAS! Spika kaja juu baada ya kuona evidence, baada ya kutulia na kuchambua. Shocking.

Makamba alitaka ku-dismantle plan yote ya JPM kuhusu TANESCO na bwawa akaanzisha ati propaganda ya ku-refurbish GRID, ile Grid ya JPM ilikuwa imezeeka na ndiyo inaleta kuweko mgawo wa umeme. Akaja na winchi ya 20 ton ati hakuna iliagizwa na kungojea miezi karibu nane.
 
Mpina ndio check and balance ya awamu hii kwa ccm yetu !na kazi hiyo anaifanya vizuri!

Bungee halina upinzani wa maana lazima tumtengenezze mpinzani ndani ya bunge!

Naamini jamaa atarudi bungeni muda si mrefu!
 
Kwani shida yako ni nini?
Kama Mlalamikaji ana ushahidi wa kutosha tuiachie Mahakama iamue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…