Luhaga Mpina anaongozwa na chuki na ukabila kuliko uzalendo na ukweli. Ushahidi huu hapa

Waarabu ni Kazi na bata...wazawa ni hapa Kazi tuu.... ukiwa karibu na bahari ya Hindi kuna kijipepo fulani kinakupepesa mpaka wajiona uko karibu sana na watu wa ng'ambo kuliko wamatumbi.... Imagine mtu wa pwani anaweza kwenda Dubai mara tatu kabla Bashungwa hajafika kwao kwa kutumia barabara anazozijenga.And now wamejiwekea Train ya Umeme ya kwendea Bungeni...itakua hapo mpaka wabara wakome...Ninaiona siasa ya Kenya/kikanda ikihamia TZ si muda mrefu.
 
Usimpangie Mpina wa KUDEAL nae kama na wewe unaona BITEKO ana shida sehemu MBURUZE MAHAKAMAN Tu kila mtu anajichukulia Mnyonge wake...sio lazima anachoona Mpina na wewe ukione...tukikiona sisi inatosha.
 
kwamba utu ni pamoja na kufumbia macho uovu?,Kula maisha Kwa fedha ya uma ni sawa?
 
huyu tangia nimesikia kwamba kapora mahekari ya ardhi ya wananchi huko moro huwa nampuuza sana hana uzalendo huo nni chuki tu
 
Utakuwa umerogwa wewe wahi tiba kabla mambo hayajaharibika zaidi. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu akaona anachokifanya mpina ni kibaya wakati unaambiwa gedere na bundi wamekata umeme na treni kushindwa kuendelea na safari huku ukiambiwa treni yetu inatumia umeme na mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…