Samia afuate utaratibu wa kutokugombea tena UraisMpina kisiasa anafanyiwa postmortem, kwa kuwa ameshakufa. Kimsingi sasa hivi anajiweka kwenye mtego tu anase, kesi yake ikafunguliwe Lindi au Mtwara
Acha kuchekesha watuSamia afuate utaratibu wa kutokugombea tena Urais
Gwajima na polepole wana nyaraka ganiMuda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
ukweli ni kwamba Hapendwi sijawahi kuona binadamu asiyependwa kama SamiaAcha kuchekesha watu
Itazuiliwa kama ya polepoleMuda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Now samia ndio anawania awamu yake hadi 2035Samia afuate utaratibu wa kutokugombea tena Urais
Now samia ndio anawania awamu yake hadi 2035
Ni Nyoka, kwani nyoka anaweza akawa nani? Mbwa au mbuzi? Nyoka ni nyoka tuNyoka ni nani kwenye huu uzii??😢
Probably ni Vasco da Gama kama si bibi Urojo mwenyewe, ngoja tuone.Nyoka ni nani kwenye huu uzii??😢
Time will reveal.Gwajima na polepole wana nyaraka gani
Samia = nyoka.Nyoka ni nani kwenye huu uzii??😢
Nyoka ni nani kwenye huu uzii??😢