Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

Unahisi Luhaga Mpina ni powerful? Ungelimuuliza Marehemu Mzee Lowassa alivyoshangaa baada ya kujua yeye sio "powerful" ndani ya CCM mwaka 2015! Sasa Luhaga Mpina? Ni mwana CCM mzuri sana kama ilivyo kwa Mzee Warioba, Mzee Butiku, Marehemu Membe na Kijana Polepole. But, they are not powerful. CCM is!
 
Hao wote ni wachumia tumbo wamekusaidia nini
 
Mpaka nyoka wenye sumu watachomoza nje ya mapango yao na kukimbilia vichakani
 
Kwa hiyo wizi wa Mali za umma, Rushwa, hongo na ajali zitaisha?

Pambaneni na hayo zaidi ili nchi isonge la sivyo hata aje nani, ni Yale Yale tu
 
CCM inaelekea kuhatarisha usalama wa Taifa kwa manufaa ya wachache. Waliokula viapo wakarudie viapo vyao badala ya kwenda bila dira.
CCM imeteleza siku nyingi. Kitendo cha kumfanya mtu kama Samia kuwa makamu wa rais ambayo ni nafasi inayoweza kumfanya mtu awe rais kilikuwa ni hatari sana. Sasa hivi ndiyo wanakumbuka shuka. Na muda huu ni muhimu sana. Inabidi wafanye lolote wahakikishe Samia hawi tena rais na waache ujinga wa kuingilia uchaguzi wa wabunge. Waache wananchi wachague wabunge wanaofaa na siyo wapigaji.
 
Lowasa alikuwa very powerful ndani ya CCM, JK ndio alihakikisha Lowasa hapiti, na JK alijua ni kipi kingefuata baada ya uchaguzi.
Siku CCM ikitenganisha nafasi ya urais na uenyekiti wa chama, tutaona mengi makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…