Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

CCM inaelekea kuhatarisha usalama wa Taifa kwa manufaa ya wachache. Waliokula viapo wakarudie viapo vyao badala ya kwenda bila dira.
Hii nchi ina watu wanaojiona wana akili kuliko wenzao,balaa walilojaliwa hili kundi la mother halina utulivu wa akili.Kwa sasa wanajuta hata wale waliowatanguliza mbele ya haki,kila siku mambo yanaharibika,na zile damu zinaongea duh!!.Mambo naskia ni magumu,shetani na wahuni Mungu na waungwana.
 
Mpina kisiasa anafanyiwa postmortem, kwa kuwa ameshakufa. Kimsingi sasa hivi anajiweka kwenye mtego tu anase, kesi yake ikafunguliwe Lindi au Mtwara
Alaa kumbe kila anayetofautiana ki msimamo anafunguliwa kesi eh? Haya yanayofanyika yatakuja kuwarudia watoto wenu na vizazi vyenu
 
Ama nyie mnajidanganya kweli,mpina awe na nyaraka? hana zaid ya umbea na uongo,kwani kwenye suala la sukari si aliibuka na mawakili 100,aliishia wapi? ccm tukitaka kuiondoa sio kwa njia za hovyo za akina polepole au mpina
 
Freedom of speech, kama mmezoea hypocrisy that's your problem. It's hilarious unadai hauchangii then boom jumping in the middle na kubwabwaja, maana ya kutokuchangia ni kupita kimya au kama comments za member zinaku-irritate kuna ignore button it's there si kwa mapambo tu.
Be real.
 
Mwaka huu wenye ccm Yao ndo muda wa kuipambania dhidi ya wahuni wakiongozwa na jk
 
Ama nyie mnajidanganya kweli,mpina awe na nyaraka? hana zaid ya umbea na uongo,kwani kwenye suala la sukari si aliibuka na mawakili 100,aliishia wapi? ccm tukitaka kuiondoa sio kwa njia za hovyo za akina polepole au mpina
Wewe hujielewi . Sasa kama mpina hana nyaraka wakati yye ni mbunge kwa kipindi chote hicho atakuwa nazo nani? Malaika? Kwanza unaongelea nyalaka zipi wewe?
Pole pole na gwajima wameshindwa au wameshinda? Mbona leo mambo kwa mtandao? Ilishawahi kutokea lini hii?
 
wewe hujasoma katiba ya ccm,inaruhusu mkutano mkuu kufanyika kwa mtandao,huo ndio usasa,mpina hana kitu,ni mtupu,ni muongo,ni mlagi,anapigania tumbo lake,hana lolote
 
wewe hujasoma katiba ya ccm,inaruhusu mkutano mkuu kufanyika kwa mtandao,huo ndio usasa,mpina hana kitu,ni mtupu,ni muongo,ni mlagi,anapigania tumbo lake,hana lolote
Na polepole anapigania nn? Mana kaacha mshahara wa ubalozini? Na gwajima anapigania nn ? Mana siyo masikini.
 
#FreeTanzaniaFromTyranny
#ChaseTyrantOutOfThePresidency
 
Mwaka huu wenye ccm Yao ndo muda wa kuipambania dhidi ya wahuni wakiongozwa na jk
Sasa JK na bi Urojo timu yao ndiyo imeshika mpini, chawa wanahaha kuilinda na kujaribu kuisafisha mauchafu yake yanayonuka.
Literally CCM ni ya wanachama lakini the sad part hao supporters/members wa kawaida wamebakia kuwa toilet papers tu.
 
ukweli ni kwamba Hapendwi sijawahi kuona binadamu asiyependwa kama Samia

Samia kama mwanadamu mwenzetu, tunampenda, maana tumeagizwa na Mungu kuwa wanadamu wote tupendane. Lakini matendo yake kama yale ya kuteka na kuua wakosoaji wake, kuteka na kuwapoteza watu, kupora rasimali za Tanganyika na kuwagawia waarabu, kuwadhulumu watu haki zao mbalimbali, zikiwemo za uhuri wa maoni na demomrasia, vinamfanya awe adui wa Taifa kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…