Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nashauri yafuatayi;Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Vipi huko chadema, wewe tone tone inakufikia na watoto wanaweza kwenda ulaya kusoma kama lissu?!!! Hongera sana kama ni hivyo.Sasa JK na bi Urojo timu yao ndiyo imeshika mpini, chawa wanahaha kuilinda na kujaribu kuisafisha mauchafu yake yanayonuka.
Literally CCM ni ya wanachama lakini the sad part hao supporters/members wa kawaida wamebakia kuwa toilet papers tu.
Hilo waulize CHADEMA nao kama hawaeleweki ni wa kuwatupilia mbali.Vipi huko chadema, wewe tone tone inakufikia na watoto wanaweza kwenda ulaya kusoma kama lissu?!!! Hongera sana kama ni hivyo.
CCM ya sasa kumbe modus operandi yenu ni kuwa mtu yoyote akitofautiana mawazo ni kufunguliwa kesi ?Mpina kisiasa anafanyiwa postmortem, kwa kuwa ameshakufa. Kimsingi sasa hivi anajiweka kwenye mtego tu anase, kesi yake ikafunguliwe Lindi au Mtwara
Akili y m bongo hiiHuyu mwamba agombee urais chama kingine wanaccm tumpe kura awe rais. Mbele ya safari namna ya kuikomboa ccm toka mikono ya wahuni kama mzee makamba.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hilo waulize CHADEMA nao kama hawaeleweki ni wa kuwatupilia mbali.
CCM ya sasa kumbe modus operandi yenu ni kuwa mtu yoyote akitofautiana mawazo ni kufunguliwa kesi ?
Kumbe ni ushahidi tosha hata kesi za CHADEMA ni za kubumba maana mahakama zinaripoti kwa mwenyekiti wa CCM.
Interesting times to be alive.
polepole anapigania tumbo lake na tamaa ya madaraka,pia kuna uovu kaufanya kule ubalozini cuba ndio maana kakimbia,mpina ni mtu anayehongwa na wanaompiga vita samia kutunga uongoNa polepole anapigania nn? Mana kaacha mshahara wa ubalozini? Na gwajima anapigania nn ? Mana siyo masikini.
Mpina kusema jimboni kwake bado watu wanamdai samia alihongwa na nani? Kati ya mpina aliyesema ukweli na wale wabunge wa ndiyooo pale Dodoma nani anahongwa? Nani anaongea uongo?polepole anapigania tumbo lake na tamaa ya madaraka,pia kuna uovu kaufanya kule ubalozini cuba ndio maana kakimbia,mpina ni mtu anayehongwa na wanaompiga vita samia kutunga uongo
Maigizo yao imekuaje mkuu.Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Samia Suluhu Hassan, hata huko "kupima samaki" pekee uwezo huo hana; hana lolote zaidi ya kuiangamiza Tanzania!Akili y m bongo hii
Muzee ya kupima samaki na rula awe prezoo?
KitukoSamia Suluhu Hassan, hata huko "kupima samaki" pekee uwezo huo hana; hana lolote zaidi ya kuiangamiza Tanzania!
Luhaga MPina ni bora mara dufu kuwa Rais wa nchi hii kuliko hiki kioja kilichoPo sasa hivi.
Tupate burudani kutoka kwa Lucas MwashambwaMuda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Nyuzi zako output yake inasoma chini sanaMuda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa
Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole
Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha
Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni.
Mwaka huu Kuna press zaidi ya 10 za watu powerful kupiga sparm mpaka reform zifanyike.
Ndio kwanza tupo stage three mpaka 10 nyoka atakuwa kakimbia.
Watanzania wa 1995 na 2015 ni watu wawili tofauti sn na hawa wa 2025. Usiishi kwa ku-kariri!!Hao ulowataja wana umaarufu kimzidi mrema wa 1995, au lowasa wa 2015? Potezeni muda kwa kujifariji