Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Wewe ulikuwa Waziri wa Mifugo, ukafanya yako tukakuona. Tuambie uliyemkabidhi ofisi, anafuata yako au anatekeleza yake kwa mujibu wa Katiba?.
Kushinikiza na kutaka ya mtu fulani yaendelezwe ni kumuona aliyeko hana dira na ni kama umemdharau.
Mzee Mwinyi na Hayati Benjamin walilelewa na Hayati Mwl. Nyerere, lakini waliibadili Nchi kiuchumi kwa namna walivyoona inafaa.
Na ikawezesha watu kama wewe Mpina kumiliki maeneo na mali kibao huku bado ni Waziri na Mtumishi wa Umma.
Mh. Rais wetu wa sasa Mama Samia aheshimiwe kwa mitizamo yake kama walivyoheshimiwa watangulizi wake.
Tusimshinikize sana kwa hoja dhaifu kama vile ni mchanga katika system za nchi hii.
Pia soma