Luhaga Mpina na Wakili Peter Madeleka wanazungumza, wasema muswada wa kodi unalenga kuwaumiza maskini (Juni 30, 2026)

Mimi niwe mkweli tuu, mimi hawa jamaa (Mpina, Mdeleka na ACT kwa ujumla) ,sijawahi waamini, achilia mbali kuelewa siasa zao.
 
ACT na CHAUMA hao ni watoto wa mama na baba mmoja shida wazazi wao kama hawawazingatii saana licha yakua wazaz ni washua tena sana (jamii inawapuuza mzaz nae anaona watoto hawatetei family basi shida tupu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…