Ninakupongeza sana Mhe. Mpina kwa taarifa yako iliyo na ukweli ndani yake na kwa kweli umetufumbua maacho wananchi jinsi tunavyonyonywa na watu wachache wasio waaminifu.
(1) Sukari tunayouziwa wachache wameweka chao cha juu Tshs.1,000 kama alivyotamka Tundu Lissu.
(2) Kampuni za stationery zinapataje kibali cha kuleta sukari nchini.
(3) Kampuni imesajiliwa Zanzibar baada ya mwezi moja inahamia Tanzania Bara na kupewa kibali cha sukari.
(4) Je sukari iliyoletwa ilipata kibali cha TBS au tunalishwa uchafu ambao muda wake ulikwishapita na mengine mengi. Bashe hatakiwi kukaa kwenye nafasi yake baada ya taarifa hii kumfikia mteule wake.
PIA SOMA
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia