Luhaga Mpina ni kweli unachukia ufisadi? huamini Samia ndiye Rais? Unakerwa na mafanikio ya Serikali yake? Naomba uwe muwazi!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu sio kuwa namchukia Mheshimiwa Mpina au napingana na uhuru wa kutoa maoni.

Nimeleta hoja hii ili nipate majibu kutoka kwake kutokana na kauli zinazoikosoa Serikali huku nyingi zikiashiria kuwepo kwa ufisadi ndani ya Serikali ya Rais Samia.

Kwamba ni kweli anakerwa na ufisadi uliopo Serikalini kama anavyodai au anakerwa na mafanikio ya Rais Samia tokea aingie madarakani?

Kwamba Mheshimiwa Mpina hayo maoni anayotoa sasa angalithubu kuyatoa kipindi cha mwendazake?

Kwamba anaona njia anayotumia kutoa kauli zake ipo sahihi kwa mujibu wa kanuni za chama chake?

Niombe Mheshimiwa afunguke hadharani tujue nini hasa kina nachomkera.

Nimalizie kwa kumkumbusha Mheshimiwa Mpina kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa.

Usiku mwema
 
Kwani mkuu wewe huoni ufujaji wa mali za umma ulivyo juu kwa sasa na rais hana habari nao. Mambo mengi ya hovyo yanafanyika katika kila wizara na ripoti za mkaguzi mkuu wa hesabu zinatolewa umeona wanafatiliwa hata kwa geresha tu hao waporaji.

Rais wa nchi yuko busy kwenda kutembeza bakuli na kugawa rasilimali za nchi.

Mkuu wa nchi anaona ni bora kuhudhuria uzinduzi wa alban za wasanii kuliko kuhudhuria maazimisho ya siku ya wafanyakazi.

Mi natamani tungekuwa na Mampina angalau 20 bungeni labda wangesaidia sana kuliko sasa ambapo karibia kila mtu aliyeko serikalini ni kutetea tu hata mambo ya kipuuzi yanayofanywa na watawala.
 
Mafisadi, majizi na mazembe kazini yana umoja sana~~~~~ Makonda
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu sio kuwa namchukia Mheshimiwa Mpina au napingana na uhuru wa kutoa maoni.

Nimeleta hoja hii ili nipate majibu kutoka kwake kutokana na kauli zinazoikosoa Serikali huku nyingi zikiashiria kuwepo kwa ufisadi ndani ya Serikali ya Rais Samia.

Kwamba ni kweli anakerwa na ufisadi uliopo Serikalini kama anavyodai au anakerwa na mafanikio ya Rais Samia tokea aingie madarakani?

Kwamba Mheshimiwa Mpina hayo maoni anayotoa sasa angalithubu kuyatoa kipindi cha mwendazake?

Kwamba anaona njia anayotumia kutoa kauli zake ipo sahihi kwa mujibu wa kanuni za chama chake?

Niombe Mheshimiwa afunguke hadharani tujue nini hasa kina nachomkera.

Nimalizie kwa kumkumbusha Mheshimiwa Mpina kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa.

Usiku mwema
Hakuna Rais hapa ni tapeli moja tu linalosubiria kuondoka kwa aibu
 
Kwamba kazi ya mbunge ni kuisifia serikali na kutangaza mafanikio ya serikali??

Nadhani kazi yake ni kuisimamia serikali na kuhakikisha serikali inatekeleza wajibu wake.

Huenda wabunge wengine hawatekelezi wajibu wao ndio maana tunaamini kazi ya wabunge sio kuisaidia serikali ila kuisifia yaani kuwa chawa.

CCM ikitaka kuwa imara lazima wabunge wake wawe imara na waisimamie serikali itekeleze wajibu wake la sivyo viongozi wa chama(CCM) watakua wanateseka kufanya kazi ya wabunge kuisimamia serikali.
 
Amekula sana hela za wavuvi na amechoma sana nyavu za waliokataa kumpa hela. 2025 ndio mwisho wa kusikia sauti yake bungeni kama ilivyokuwa kwa Lucas Selelii
 
Back
Top Bottom