Hivi Esther Matiko alirudisha lini ya CHADEMA?Ikumbukwe.
Hakuna mahali popote panaonesha mpina amerudisha kadi ya chama
Atanogesha matamasha ya CCM.Kutoka CCM hadi ACT WAZALENDO ni maagizo kutoka juu kupitia kwa Zitto Kabwe
Walianza tume wakampitisha kuwa mgombea wa kiti cha urais muda kidogo tume wakasema hana sifa wapi na wapi?
Mara eti kesi yakubumba mahakamani ili tu ionekane et kwamba haibani wapinzani luhaga mpina amewekwa hapo kwa maelekezo maalumu na wlala hawezi kushinda kiti cha urais .
Mnaojifanya eti Mpina ameshinda kesi nawaona km hamnazo😁😁😁
Mtu mzima hapangwingwi
Kwa leo naishia apo
Alikuwa ccm ilibidi uulize hiloHivi Esther Matiko alirudisha lini ya CHADEMA?
Ni mwana CCM hata kabla hajawa mwana CCM sasaHivi Esther Matiko alirudisha lini ya CHADEMA?