PostGE2025 Luhaga Mpina: Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ufutwe, Wananchi wachague viongozi wanaowataka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 ufutwe na kutangazwa uchaguzi mpya ili kuwapa nafasi wananchi ya kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya Rais, wa bunge na madiwani ili kurejesha umoja na mshikamano, amani na utulivu nchini.

Hauwezi ukasema kwamba tunaweza tukauendelea bila kufuta uchaguzi. Uchaguzi ambao umeshadhihirika kila mahala ni wa kugushi, ni feki ulisimamiwa na tume ambayo ni batili, tume ambayo ni genge."

Your browser is not able to display this video.
 
Nae kakutana na martin wa IPU?
 
yaani kwasababu hukupiga kura wewe kwa ujinga na kiburi yako, halafu utegemee tuliopiga kura tubabaike au kuhangaishwa na stress zako? that's nonsense
 
Mifumo ya sasa haifai kuendesha uchaguzi wowote. Bila meaningful reforms kufanyika kwanza, uchaguzi wowote hauwezi kukidhi viwango vya kidemokrasia. Ni matumizi mabaya ya taxpayers money!
 
yaani kwasababu hukupiga kura wewe kwa ujinga na kiburi yako, halafu utegemee tuliopiga kura tubabaike au kuhangaishwa na stress zako? that's nonsense
AU wenyewe wameukataa ule uchaguzi wa mchongo,duniani hamnagq uchaguzi wa vile
 
AU wenyewe wameukataa ule uchaguzi wa mchongo,duniani hamnagq uchaguzi wa vile
ungana na wafuata mkumbo na wenye stress kama mpina na itapendeza zaidi.

uchaguzi mkuu ni 0ct.2030 na Dr.Emmanuel Nchimbi anakwenda kuongoza taifa hili bila kujali stress zenu gentleman
 
Hao watu wa 32M walipigaje kura ....Duh.
Noma sana.
Majitu mazee kulazimisha uongo kama ule.
 
ungana na wafuata mkumbo na wenye stress kama mpina na itapendeza zaidi.

uchaguzi mkuu ni 0ct.2030 na Dr.Emmanuel Nchimbi anakwenda kuongoza taifa hili bila kujali stress zenu gentleman
Hivi kweli hata Kama wewe ni hamnazo Sana unaweza kweli kutetea mpaka siku ya mauwaji ya halaiki yaliyofanywa na intalahamwe (CCM?)
 
ungana na wafuata mkumbo na wenye stress kama mpina na itapendeza zaidi.

uchaguzi mkuu ni 0ct.2030 na Dr.Emmanuel Nchimbi anakwenda kuongoza taifa hili bila kujali stress zenu gentleman
Nchimbi akili kubwa zao la kivukoni,huyo akiingia habari za kichawa msahau,hakuna uvccm ******* kama wa miaka hii sababu hawajui miiko ya iko chama wanachojua wao ni uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…