Nchimbi akili kubwa zao la kivukoni,huyo akiingia habari za kichawa msahau,hakuna uvccm ******* kama miaka sababu hawajui miiko ya iko chama wanachojua wao ni uchawa
Mpina ni msaka tonge aliyechanganyikiwa baada ya kukosa madaraka, aje aseme hadharani uchaguzi wa 2020 na huu wa 2025 tofauti yake ni nini? Mbona uchaguzi wa 2020 hakusema ufutwe au sababu alifanikiwa kuwa mbunge?