Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema mananeo ya Waziri Bashe kuwa "Mfumo wote wa usambazaji ni cartel system, msambazaji mmoja tu yuko Mwanza anahudumia mikoa 11" ni uongo.
Luhaga Mpina akaendelea maelezo hayo hayana ukweli wowote kwakuwa usambazaji na uzalishaji nchini hufanyika kwa misingi ya ushindani na kila liwanda kina wasambazaji wake siyo mmoja kama alivyodai Waziri, kwani Kagera Sugar ina wasambazaji 24 katika wilaya na miko mbalimbali nchini.
Pia soma:

- Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi Wa Luhaga Mpina Kwa Spika Wa Bunge Dkt Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe Kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari