MATENDO NA TABIA za Bwana Luhanga Mpina ni kama mbwa mzee ambaye amejichokea kuishi sasa anatafuta sababu za kufa ndiyo maana anajilaza barabarani kila mara ili magari yamkanyage afe lakini yanamkwepa ndiyo maana haachi kubwekabweka kila dakika.
Luhanga Mpina ni moja ya mawaziri wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye nchi hii na kama siyo utaratibu wa kuoneana haya ndani ya taifa hili basi Luhanga Mpina alitakiwa kuwa jela muda huu anatumikia kifungo kwa jinsi alivyosababisha matatizo makubwa na ukatili mkubwa sana kwa watu wa kanda ya ziwa hasa wavuvi ambao aliwaharibia maisha yao kabisa.
Luhanga Mpina ana shida binafsi sana na mawaziri Mwigulu Nchemba na Hussein Bashe. Luhanga Mpina hana maslahi anayowapigania watanzania zaidi ya mabifu yake binafsi na watu hawa wawili na zaidi ni kuwa anamshambulia Rais Samia kupitia watu hawa. Lengo lake ni kuishambulia serikali ya na Rais Samia mwenyewe lakini anafanya hayo kupitia mawaziri hawa wawili ambao kila siku yuko nao kuwakandika tuhuma za hovyo zisizo na kichwa wala miguu.
Luhanga Mpina hajaanza leo kumhusisha Mwigulu na madudu mengi tu anayoyasemaga bungeni na kukosa ushahidi. Luhanga Mpina alimhusisha Mwigulu na mambo ya 360 trilioni za makinikia wakati wa Magufuli huku akisahau kuwa aliyekuwa waziri wa fedha ni Dokta Mpango lakini alikuja kujibiwa na Prof Kabudi juu ya porojo zake za 360trilioni za makinikia.
Luhanga Mpina huyu huyu alikuja na porojo za deni la taifa zijui limefanyaje sijui hela zinaibwa hazionekani mara sijui nini. Hivi kweli kuna waziri anaweza kukopa hela na kuziingiza kwenye deni la taifa na Rais wan chi asijue? Au Mpina anamsema Rais Samia kiaina lakini anazunguka njia kwa kumsema Waziri Mwigulu?
Luhanga Mpina akaja na porojo zingine za mambo ya fedha za barabara na SGR nako akakwaa kisiki kwa kuwa waziri wa fedha hahusiki na mambo ya manunuzi na siyo kazi yake kushughulikia manunuzi kwenye miradi ya barabara na SGR. Mambo ya SGR si ni ya Prof Mbarawa au? Mambo ya barabara si ni mambo ya TANROADS na Bashungwa?
Luganga Mpina hakuishia hapo bado akaja na porojo za sukari zilizopelekea kufukuzwa kuhudhuria vikao vya bunge. Mpina alipewa nafasi kujitetea kwenye kamati ambako kilichototea huko ni vichekesho vitupu yaani. Yaani zile mbwembwe zake zote alizokuwa nazo na kutamba bungeni alishindwa kujitetea na kutoa maelezo ndani ya kamati ikimhoji.
Hata hili la sukari ni jambo la waziri wa fedha? Yaani wizara ya fedha au Mwigulu kama waziri anahusikaje na kununua na kuagiza sukari? Yaani majukumu ya kununua sukari au kufanya manunuzi ya sukari yanakuwaje ni ya waziri wa fedha?
Sisi tunajua aliyeko nyuma ya Luhanga Mpina ni nani na tunajua lengo lao ni nini kwa kuwa tuna taarifa za mipango ya Mpina na kundi la akina January Makamba kumshughulikia Bashe na Mwigulu na lengo lilikuwa ni vita vyao vya 2030. Tunajua Mpina ungetamani sana 2030 mfadhili wako kuwashughulikia akina Bashe na Mwigulu awe Rais lakini kwa bahati mbaya sana kavunjwa miguu kabla hata hajaanza kukimbia kuelekea 2030.
Sisi tunafuatilia sana mambo haya na kwa miaka mitatu mfululizo CAG hajawahi kumtaja wala kuigusa wizara ya fedha kwenye lolote kati ya tuhuma hizi unazozisema. Ina maana CAG haoni? Hana macho? Hajui kama kuna makorokoro hayo unayoyasema? Au wewe unajua kuliko CAG? Mbona huongelei madudu yaliyopo nishati? Mbona huongelei madudu yaliyopo TANROADS? Mbona huongelei madudu yaliyopo kwa Prof Mbarawa?
Luhanga Mpina una shida binafsi na Bashe na Mwigulu na unatumika kuliingiza taifa kwenye shida na taharuki kila mara kwa kuwa umekubali kuwa sehemu ya ujinga unaofanywa na akina January Makamba wanaodhani kuwa wanaweza kuanguka na kupotea na wengine hata kama hawana uhusika kwenye mipango yao ya uasi iliyofeli.
Luhanga Mpina huna uwezo wa kulipa mawakili zaidi ya 100 wanaokusimamia kwenye hizo kesi zako . Tunajua kundi hili la mawakili linalipwa na nani na lina lengo lilelile la kuivuruga hii nchi kama yale yanayotokea Kenya. Mamlaka za usalama tunawashauri kuwa makini sana na Wakili Nshala. Tunaturudia tena kuwaambia kuweni makini sana na wakili Nshala Rugemeleza.
Angalizo tu ni kuwa vita unavyopigani ni vigumu sana na huwezi kuvishinda hata ufanyeje kwa kuwa sisi tunajua kuwa target yenu ni kumchafua Rais Samia na kuwaandama Bashe na Mwigulu ni danganya toto tu lakini kwenye hili la sukari tunajua mmemlenga nani na tuna taarifa zenu kwa ukamilifu.