PreGE2025 Tetesi: Luhanga Mpina kutajwa kugombea Urais kupitia CHAUMMA 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rasilimali ziko serikalini,watapewa zote na Wabunge Watapata s ruzuku watatfuna.

Nyie wa tonetone tuwaone baada ya Uchaguzi 😁😁
Wewe unaweza kupoteza muda wako kugombea URais kupitia hivyo Vyama Mkuu?

Kuwa mkweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…