Bora hata ya Sepp Blater. Pamoja na mapungufu yake lakini alihakikisha FIFA kinakuwa ni chombo huru. Huyu Infantino ameigeuza FIFA kuwa chombo chenye double standard.
Mfano Urusi imefunguwa kushiriki mashinano yote ya FIFA baada kuivamia Ukraine mwaka 2022! Cha kushangaza Israel ilipoivamia Gaza 2023 na kusababisha mauaji ya watu zaidi ya elfu 70, FIFA hiyo hiyo imetulia kimya, kama haipo vile.