Luis Miquissone atua uturuki

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Baada ya kufika atambulishwa mbele ya wachezaji wenzake wageni pamoja na wale ambao aliwaacha akiondoka mfano Boko, Chama, Kapombe, Tshabalala, na wengine wengi.

Ilikuwa furaha kwao kukutana nao tena kwenye Timu iliyommulikia taa ya mafanikio kisoka Afrika.

Mchezaj tajwa kwenye hii thread ni yupi kati ya hao wawili???
 
Mashabiki wa simba wameususa tena huu uzi!

Sijui ndiyo kusema hawajafurahishwa na huu usajili wa huyu dogo ambaye vyombo vingi vya michezo vya nje vinamtambulisha kama floppy!
 
Mashabiki wa simba wameususa tena huu uzi!

Sijui ndiyo kusema hawajafurahishwa na huu usajili wa huyu dogo ambaye vyombo vingi vya michezo vya nje vinamtambulisha kama floppy!
Utateseka sana na Simba hadi ikutoe bawasiri
 
Mmakonde sasa rasmi ndani ya uzi mwekundu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…