Luis Miqussone "new Cazorla ndani ya bongo"

Huyu jamaa anapiga miguu yote 100%
Style ile ile ya sant cazorla midfielder maestro wa zamani wa Arsenal. Kona ikiwa kushoto yeye utatumia guu la kulia, ikiwa Kulia yeye utatumia guu la kushoto

Hakika simba imepata fundi...!!
Dogo yupo vizuri wachezaji wachache sana wanakuwa na uwezo wa kupiga miguu yote kwa ufasahaa
 
Messi huyu tunayemjua au Messi wa Manzese?
Kwa jinsi anavyopiga miguu yote ni kweli anakuwa kama SANT CARZOLA.

Ila akiamua kulamba watu chenga kwa mguu wa kushoto.. Unawezasema MESSI yuko Msimbazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…