Miquison bonge la midfielder anaupiga mwingi sana chenga, cross mixer dribbling za maana.
Jamaa anatisha sana na ukiangalia umri wake bado mdogo,namtabiria makubwa.
Style ile ile ya Sant Cazorla midfielder maestro wa zamani wa Arsenal. Kona ikiwa kushoto yeye utatumia guu la kulia, ikiwa Kulia yeye utatumia guu la kushoto